Monday, 13 July 2015

REGINA QAMUHE PROFILE BLOG



REGINA QAMUHE PROFILE BLOG

 WOMEN FOOD NUTRITION


Kuhusu Regina Qamuhe Gege Hywaari ni mzaliwa katika kijiji cha Sanu Baray, wilaya ya Mbulu mkoa wa Manyara, zamani ulikuwa mkoa wa Arusha.

Regina Qamuhe Gege Hywaari ni mraia wa kuzaliwa wa nchi ya Tanzania Afrika mashariki.
Pia Regina Qamuhe Gege Hywaari amezaliwa tarehe 17.08.1984 katika wilaya ya Mbulu. Ana ndugu wa kuzaliwa 11 na yeye mwenyewe. Kwa maana ya wanaume 8 na wamama watatu (3). Mama mzazi anaitwa Lusia Akunaay na baba anaitwa Gege Hywaari.
Regina Qamuhe Gege Hywaari anawapenda sana wamama na anapenda kubadilishana nao mawazo.
Anawakaribisha wamama wote kwenye blog huu ili kubadikishana nao mawazo kama sio kupeana uzoefu wa mambo mengi na elimu mbalimbali.
UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU
Sio wamama tu hata wababa mnakaribishwa kwenye blog hii ili kuleta mawazo chanya yanayohusu mambo ya wamama tu.
Tuma maoni yako kwa email hizo hapo chini nami nitayarusha kupitia blog hii baada ya kuyafanyia upembuzi yakinifu; Kama ujumbe wako hautahusu wamama au wanawake hautapata nafasi katika blog hii, ila kwa kibali cha muhasisi wa blog hii ambaye ni Regina Qamuhe Gege Hywaari.
Simu +255-764-311-740
Po Box 103, Mbulu.

OUR LINK



OUR LINK

13 Jul 2015
13 Jul 2015





Contact Form

Name
Email *
Message *

Email us


My blogs

SANU BARAY WOMEN FOOD & NUTRITION

. Picture Window template. Powered by Blogger.

The importance of mothers

You have trained Woman, You have train SOCIAL

This is about the development of the mothers Blog

You are invited to provide your feedback

THE TITLE OF FOOD NUTRITION

It is a method of preserving food to prevent hunger

A woman should be at the forefront in preserving food, hunger occurs to any woman against hunger, for protected crops will help.

Woman also learn how to prepare food for his family and guests who visit.



  Despite knowing the various education related to care for a whole house with the family,

woman has many responsibilities.



  WE HAVE GAIN NEW EXPERIENCE THROUGH THIS BLOG



Give me your coments through the phone number + 255-764-311-740



My name is Regina Qamuhe bird life

Sanu Baray Mbulu


 Email reginaqamuhe2015@yahoo.com
or reginaqamuhe84@gmail.com.

UMUHIMU WA WAMAMA WA KIAFRIKA HUSUSANI MBULU

UKIMWELIMISHA MWANAMKE UMEIELIMISHA JAMII

Hii ni Blog inayohusu maendeleo ya wamama

Unakaribishwa kutoa maoni yako

KUHUSU TITLE YA FOOD NUTRITION

Ni mbinu za kuhifadhi chakula ili kuzuia njaa
Mwanamke anatakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhifadhi chakula, ili inapotokea njaa mwanamke asipate njaa, kwani mazao yaliyohifadhiwa yatamsaidia.
Pia mwanamke ajifunze namna ya kuandaa chakula cha familia yake pamoja na wageni wanaomtembelea.

 Pamoja na kujua elimu mbalimbali ambazo zinahusiana na kutunza nyumba kwa ujumla pamoja na familia,
mwanamke ana majukumu mengi.

KUPITIA BLOG HII TUTAPEANA UZOEFU

Nipigie kwa simu namba +255-764-311-740

Jina langu ni Regina Qamuhe Gege
Sanu Baray Mbulu
Email reginaqamuhe2015@yahoo.com
au reginaqamuhe84@gmail.com.