REGINA QAMUHE PROFILE BLOG
WOMEN FOOD NUTRITION
![]() |
Kuhusu Regina
Qamuhe Gege Hywaari ni mzaliwa katika kijiji cha Sanu Baray, wilaya ya Mbulu
mkoa wa Manyara, zamani ulikuwa mkoa wa Arusha.
Regina Qamuhe
Gege Hywaari ni mraia wa kuzaliwa wa nchi ya Tanzania Afrika mashariki.
Pia Regina
Qamuhe Gege Hywaari amezaliwa tarehe 17.08.1984 katika wilaya ya Mbulu. Ana
ndugu wa kuzaliwa 11 na yeye mwenyewe. Kwa maana ya wanaume 8 na wamama watatu
(3). Mama mzazi anaitwa Lusia Akunaay na baba anaitwa Gege Hywaari.
Regina Qamuhe
Gege Hywaari anawapenda sana
wamama na anapenda kubadilishana nao mawazo.
Anawakaribisha
wamama wote kwenye blog huu ili kubadikishana nao mawazo kama
sio kupeana uzoefu wa mambo mengi na elimu mbalimbali.
UMOJA NI
NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU
Sio wamama tu
hata wababa mnakaribishwa kwenye blog hii ili kuleta mawazo chanya yanayohusu
mambo ya wamama tu.
Tuma maoni
yako kwa email hizo hapo chini nami nitayarusha kupitia blog hii baada ya
kuyafanyia upembuzi yakinifu; Kama ujumbe wako
hautahusu wamama au wanawake hautapata nafasi katika blog hii, ila kwa kibali
cha muhasisi wa blog hii ambaye ni Regina Qamuhe Gege Hywaari.
Simu
+255-764-311-740
Po Box 103, Mbulu.
No comments:
Post a Comment