ELIMU NA TAARIFA SAHIHI KWA WAMAMA
Wamama wanatakiwa kijishughulisha na shughuli mbalimbali za maendeleo na kutafuta ubunifu.
Wamama wanatakiwa kupewa elimu ya afya ili kujikinga na maradhi mbalimbali kama vile gonjwa hatari la
UKIMWI.
Wamama wanatakiwa kuwalinda watoto wao wa kike ili waepukane na mimba za utotoni
Kwa ujumla Wamama wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kufutilia haki zao za msingi
No comments:
Post a Comment