Thursday, 6 August 2015

3. HASARA ZIWAPATAZO WAMAMA WALIOKOSA ELIMU


HASARA ZIWAPATAZO WAMAMA WALIOKOSA ELIMU

Wamama waliokosa elimu hawatajua kusoma na kuandika

Wamama waliokosa elimu hawatapata habari sahihi

Wamama waliokosa elimu hawatajua lugha ya taifa

Hawatakuwa huru wanapotaka kujua kitu fulani cha maendeleo

Hawatajua haki zao za msingi

Watakuwa maskini

Hawatapata nafasi ya uongozi

Watakubaliana na mila na desturi zao hata kama zinawakandamiza

Hawataelimishawatoto wao

MWISHO
Wamama wapewe kipaumbele katika nafasi mbalimbali za uongozi ili waweze kupata ubunifu zaidi wa kisayansi na kiteknolojia

No comments:

Post a Comment