Thursday, 6 August 2015

2. SIFA ZA WAMAMA WALIOELIMIKA


SIFA ZA WAMAMA WALIOELIMIKA

Wamama walioelimika watakuwa huru na kujiamini

Wamama walioelimika watajua kusoma na kuandika

Wamama walioelimika watapata kazi wanazotaka

Wamama walioelimika watapata nafasi za uongozi

Wamama walioelimika watakuwa na uwezo wa kutunza familia zao

Wamama walioelimika watakuwa watetezi wa haki za binadamu kwa jamii

Wamama walioelimika watajikinga na ukimwi yeye na familia yake

Wamama walioelimika wataelimisha taifa

Wamama walioelimika wataheshimika na jamii

Wamama walioelimika watatafuta taarifa mbalimbali

Wamama walioelimika watakubali kujitokeza katika vikundi

No comments:

Post a Comment